Nashukuru kwa ushauri, Je! vitu vichachu kama,machungwa twarusiwa kula wagonjwa wa vidonda vya tumbo?Namba ya swali 002

Ni vyema kupata ushauri wa daktari kwanza. maana kama sababu ya vidonda vyako ni Asidi (tindikali) vitu hivi sio vizuri kwani vinaongeza asidi (tindikali) na kusababisha hali kuwa mbaya zaidi. Hivyo si vyema kutumia kwa wingi vitu vya uchachu kwa vidonda vya tumbo visababishwavyo na asidi (tindikali)Namba ya swali 002

AhasanteNamba ya swali 002

Karibu tena ukiwa na swali ama maoniNamba ya swali 002