Ikiwa nataka niunganishe namb yangu kwa mtu mwingne il kama kuna sms nime2miwa ianzie kwa huyo mtu nifanyeje?Namba ya swali 021

Unayo computer?Namba ya swali 021

Hapana nina sim ya kawaida (sio smart)Namba ya swali 021

Ok kwa ufupi ni kuwa hiyo huduma nibya gharama, pia ni siri ambayo inaweza hata kukufungisha. Na wengi wanaodai kutoa huduma hiyo ni matapeli. Na wala usipite taabu sana kutafuta hii huduma. Kwani walionayo ni wachache na wanayoa kwa siri. Ila kama ungelikuwa unayo pc ningekupa kaujanja flaniNamba ya swali 021

Ahaa, tatzo cna pc, nina simu ya kawaida ya battanNamba ya swali 021

Na kwa kutumia call divert na call fowading je?Namba ya swali 021

Hizi haziwezi ku divate smsNamba ya swali 021

Naweza kufanyaje?Namba ya swali 021

Ungelikuwa na PC kina App inaitwa might text ukiiweka kwenye slimu na kwwbye pc. Basi hiyo simu ikiwa online sms zinawenda kwenye pc.... Togautibna hapo, sina msaasa zaidi. Lamsa endelea kuwatafuta wanaotoa huduma hii, ikankuwa makini wwnhinni matapeli, na ni hatari piaNamba ya swali 021

Kumbe hapo ntakuw nimeshindw, jap imefka nusuNamba ya swali 021