Kwanini prsha yangu haitaki kukasawa wakati numepewa dawa uyamwezimmojaNamba ya swali 022

Ni ya kupanda ama kushuka?Namba ya swali 022

Ni ya kupandaNamba ya swali 022

Hakikisha unafata maelekezo vyema. Pia epuka kula vyakula kama vyenye chumvi nyingi, Punguza unywaji wa pombe na sigara kama unatumia, Punguza misongo ya mawazo kama unayo. Pia fanya mazoezi. Kujuwa zaidi kuhusu presha ya kupanda Bofya hapaaNamba ya swali 022

NashukuruNamba ya swali 022

Karibu tenaNamba ya swali 022