Za leo! Nimeshasaga mbegu za papai naomba ushauri jinsi ya kutumia.
Tia kwenye asali, ama uji ama chai, Pia si lazima usage unaweza kutafuna mbegu mbichi
Ukatumia kwenyemaziwa inakuwa poa pia
Asante sana.