Je unaweza kunieleza
Kwa mjamzito kuumia wakati wa tendo la ndoa tatizo linaweza kuwa ni nini?Namba ya swali 024

Anapata maumivu ya tumbo ama kwenye uke?Namba ya swali 024

UkeNamba ya swali 024

Ni kwa sababu ya mabadiliko ya homoni yaliyosababisha damu kuja kwa wingi kwenye mashavu ya uke na kuufanya uwe na hisia nyingi. Jitahidi kufanya kwa taratibu tofauti na zamaniNamba ya swali 024

Sawa, na vipi kuhusu kutokwa na maji ukeni katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo? Na hayatoi harufu mbayaNamba ya swali 024

Ni kawaida hiyo usijali kabisaNamba ya swali 024

Sawa nashukuruNamba ya swali 024

Ok ukipata muda tembelea tovuti yetu www.bongoclass.comNamba ya swali 024