Habari yako dokta, nina swali moja hapaNamba ya swali 025

Nzuri karibu sanaNamba ya swali 025

Swali langu ni hili
Kwa mjamzito kuumia wakati wa tendo la ndoa tatizo linaweza kuwa ni nini?Namba ya swali 025

Anaumwa tumbo ama ukeni?Namba ya swali 025

Anaumwa ukweni kama kunawakamoto ivi, yaani hata siwezi kuelezea zaidi.Namba ya swali 025

Ni kwa sababu ya mabadiliko ya homoni yaliyosababisha damu kuja kwa wingi kwenye mashavu ya uke na kuufanya uwe na hisia nyingi. Jitahidi kufanya kwa taratibu tofauti na zamaniNamba ya swali 025

Sawa, na vipi kuhusu kutokwa na maji ukeni katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo? Na hayatoi harufu mbayaNamba ya swali 025

Ni kawaida hiyo usijali kabisaNamba ya swali 025

Sawa nashukuruNamba ya swali 025