Swali langu:
Nimemaliza piriadi tarehe 4 mwezi huu lkni najihisi tena dalili zakublidi wiki nzima hii kwannNamba ya swali 026

Je umebrid? na Ni dalili zipi unahisiNamba ya swali 026

Bdo cjablidi ila nahisi kublidiNamba ya swali 026

Dalili za kubrid huambatana na dalili za mimba changa. Na unaweza pia kubridi ila damu yake ni tofauti kidogo na ya hedhiNamba ya swali 026

Aha SWA asnte maana nashanga dalili mbona hafla zinajirudia mwezi huu huuNamba ya swali 026

Pima kwanza kuhakikisha kama una ujauzito ama laa, na hata usipoiona rudia tena baada ya wiki maana kipimo cha mkojo kwa mimba changa sana sio rahisi kupata majibu sahihi. Baada ya hapo tutakuwa na majibu sahihi kama ni ujauzito kweli ama kuna mabadiliko mengine..Namba ya swali 026