Swali langu: Ukiwa na areji , afu kupata muwasho korodani unapo jikuna unga kutoka nayo fangasi?Namba ya swali 028

Yes kuna uwezekano mkubwa una fangasiNamba ya swali 028

Ok nimetumia dawa nilipona mda mfupi imeludi tena iyo hari , kwani kuna uwezekano wa kupona kabisaa?Namba ya swali 028

Yes upo uwezekano wa kupona fangasi wa korodani. Zungumza na daktari akupatie dawa za kunywa kama hali itaendelea kujirudiaNamba ya swali 028

Nilipewa vidonge na dawa ya kupaka ndo ikajiludia iyo hali nashindwa nifanyeje? au inakua bado ipo kwenye nguo ninazo vaa?Namba ya swali 028

Zungumza na daktari akupatie dawa za kunywa maana za kupaka mara nyingi hutoa fangasi walio kwenye ngozi. Huenda wapo kwenye damu. Dawa ya kunywa itawauwa wa ndani ya damu na njeNamba ya swali 028

Sawa nashukulu sana kwa ushauli mzuri naenda kesho ntakujulisha kitakacho endelea asanteeNamba ya swali 028

OkNamba ya swali 028