A.alykum naomba kujua idadi sahihi kati ya sura zilizoshuka Makka na zile za madinaNamba ya swali 029

Waalykum salaam Hili swala lina utata Ila kauli yenye kunguvu zaidi 86 ni za Maka na 26 ni za MadinaNamba ya swali 029

Shukran sanaNamba ya swali 029