sas na karibia mwezi nawashwa sehem Zang za sili kwenye shingo ya uume najikuta najikuna mpk natoka vidonda

sas na karibia mwezi nawashwa sehem Zang za sili kwenye shingo ya uume najikuta najikuna mpk natoka vidonda

sas na karibia mwezi nawashwa sehem Zang za sili kwenye shingo ya uume najikuta najikuna mpk natoka vidonda

Habar za saiz samahn kwa ku kupigia cm muda muu nilikuwa napita pita fb nikakutana na captain yak juu ya magonjwa ya zinaa
Nikaona pia inanihus sas na karibia mwezi nawashwa sehem Zang za sili kwenye shingo ya uume najikuta najikuna mpk natoka vidonda na kuvimba na pind ninapo jipikicha kwa kujikuna naskia raha ya kupata unafuu
mpk sas sielew nasumbuliwa na mimi ila sitoi uchafu wowote wala kupata maumivu ni kuwashwa tu mpk pemben ya mapaja nawashwa sijui unanishaulije au unanisaidiaje kiongozi



Namba ya swali 030

Huwenda unasumbuliwa na fangasi,



Namba ya swali 030

Napata shida Sana nawashwa Alf Kwan mtu akiwa kwenye hali kama hii a kifanya mapenzi Kuna uwezekano wa kuambuza mtu?



Namba ya swali 030

Fika duka la dawa mwambie dawa ya fangasi wa kwenye mapaja, atakupatia. Anza na ya kupaka, hakikisha unapaka ukiwa safi na baada ya kukauka maji, yaanibuwe mkavj ukiwa na nguo za pamba zisizo bana Mambo yakiwa safi haiwezi chukuwa zaidi ya mwezi bila kupona kwa uwezo wa Mungu



Namba ya swali 030

Asnt nashkur kaka



Namba ya swali 030

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 2692

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 ai web app     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Mimi Nina tatizo kila nkishika mimba huwa zinatoka tu ni mara 5 Sasa nifanyaje?

Mimba inaweza kutoka kutokana na maradhi, majeraha ama misukosuko mimgine. Kutoka kwa mimva haimaanishi ndio mwisho wa kizazi.

Soma Zaidi...
Utaratibu wa kushiriki tendo la ndoa kwa wajawazito

Jifunze muda ambao mjamzito hatatkiwa kishiriki tendo la ndoa. je kuna madhara kwa mjamzito kushiriki tendo la ndoa.

Soma Zaidi...
Hatua Saba za kutibu au kuepuka uvimbe kwenye kizazi

Posti hii inahusu zaidi hatua ambazo unaweza kuzitumia ili kuweza kutibu uvimbe au kwa kitaalamu huitwa fibroids. Hizi hatua zikitumika uweza kusaidia kupunguza kiwango cha kupata au kuwepo kwa uvimbe kwenye kizazi.

Soma Zaidi...
Sorry kunamchumba wangu katokwa na majimaji meupe na tumbo linamuuma BAADA mda likaacha nidalili za Nini au.nikawaida tu

Majimaji msule sehemu za siriyanaweza kuashiria mambo mengi ka mwanamke. Ikiwemo ujauzitina maradhi. Pia yanaweza kuashiria kuwa mwanamke unaweza kuoatavujauzito amalaa.

Soma Zaidi...