Habari mim mjamzito lakini maumwa kiuno nakuacha nakuvuta ukeni wiki ya 39 na siku4Namba ya swali 032

Hiyo kawaida kwa miezi yakoNamba ya swali 032

Kama.maumivu ni makali sana, kwa muda mrefu kiasi cha kishindwa kufanya kazi za kawaida ni vyema kumuona daktari. Lakini maumivu ya kiuno na kama ulivyosema ni kawaidaNamba ya swali 032

AhsanteNamba ya swali 032

okNamba ya swali 032