Habari! Samahan Ningependa Kujua Dalili za awali za mimba endapo tu mwanamke ametoka kukutana kimwili na mwanaumeNamba ya swali 034

Ni ngumu kuzijuwa ndani ya siku moja mpaka wiki hadi wiki mbili. Ila kama utakuwa makini zaidi na mwili wako unaweza kujijua ndani ya siku moja

1. Cheki mabadiliko ya joto la mwili wako. Kama joto lako toka siku ya hatari halikushuka likaendelea mpaka kuingia siku zisizo hatari huenda ulibeba ujauzito.

2. Cheki utelezi kwenye uke wako kama umeongezeka, Cheki mabadikiko ya afya yako, kama mapigobya moyo, hali ya kichwa kama ni chepesi, kizunguzungu, n.k Chunguza magitiy yako. N.kNamba ya swali 034

AhsanteNamba ya swali 034