Naomba kujua ukeni psnawasha pia sehemu za mashavu panamchubuko umetoka je tatizo Ni nini

Pia na mume wangu sehemu ya juu ya uume psmevimba, mchubuko na panawasha je tatizo Ni niniNamba ya swali 035

Kuna mashambulizi ya fangasi ama bakteria.Namba ya swali 035

Unatushauri nini ama tutumie dawa gani?Namba ya swali 035

Fikeni kituo cha afya, mpate vipimo, baada ya kutambulika kama ni FANGASI AMA BAKTERIA mtapewa dawa mahususi. Katu musiishie duka la dawa bila kupata vipimoNamba ya swali 035

Bakteria husababishwa na niniNamba ya swali 035

Bakteria wanaweza kuwa wameingia kama UTI ama kushiriki tendo la ndoa na kadhalika. Ama PIDNamba ya swali 035