Je kupata maumivu sehemu zinazoota mavuzi na kuwa namaumiv wakat wa haja ndogo na pia kwenye kichwa cha uume kunakua kama kunavimb hizo syo dalili moja wapi?Namba ya swali 037

Huwenda una fangasiNamba ya swali 037

Hizo fangas zinasababishwa na nn?Namba ya swali 037

Huwenda umezipata kwenye mazingira ya kazi, ama vyooni, ama kupitia kukutana kimwili n.kNamba ya swali 037

Fika kituo cha afya upate vipomo baada ya kuthibitika aina ya fangasi waliokuwepo utapewa dawa za kupaka ama kumeza. Pia kukingana na athari walioonyesha. Fangasi wanatibika haraka sana kama utafata masharti vyema.Namba ya swali 037