picha

kupungua kwa kas kwa mwili na shingo kupungua unene na meno kutoboka ni dalili za HIV

kupungua kwa kas kwa mwili na shingo kupungua unene na meno kutoboka ni dalili za HIV

Habari Mimi kupungua kwa kas kwa mwili na shingo kupungua unene na pia naona niko na meno yalio tobolewa na meno hayo kwa maumivu yake yakanisababishia uvimbe kama jipo je nayo ni dalili za HIV



Namba ya swali 039

Je kuna shida yeyote ya kiafya inakupata tofauti na meno?



Namba ya swali 039

Pia dalili za maleria yani kichwa joto tumboni kama kujaa ges



Namba ya swali 039

Na bado sija enda kujicheki afya kwa kuujua uhakika



Namba ya swali 039

Ni nhumu kujuwa HIV bila vipimo, kupungua kwa uzito na kukonda inaweza kuwa daliki za UKIMWI ila sio kirahisi kiasi cha kutokea bola hata ya kuumwa na maradhi nyemelezi, ijapokuwa inaweza kutokea kwa baadhi ya watu. Hata hivyo shida kwenye neno onaweza kuwa dalili ya HIV ila nayo huwa ikiambatana na fangasi kwenye ulimi na madoa madoa ulokininna mdomoni n.k Ni vyema kupima kwanza



Namba ya swali 039

Bc nashkur kwa ushaur



Namba ya swali 039

Ok karibu tena



Namba ya swali 039

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2018-08-01 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 1873

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 web hosting    👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉5 Bongolite - Game zone - Play free game    👉6 Dua za Mitume na Manabii   

Post zinazofanana:

Visababishi vya ugonjwa wa Varicose vein

Posti hii inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya ugonjwa wa vericose veini, ni visababishi mbalimbali ambavyo utokea kwenye mtindo wa maisha kama tutakavyoona.

Soma Zaidi...
Fahamu ugonjwa wa kaswende wakati wa ujauzito.

Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kaswende wakati wa ujauzito, kaswende inaweza kukaa kwa mtu zaidi ya miaka mingi bila kuleta madhara ya moja kwa moja lakini kadiri ya siku zinavyokwenda madhara utokea hasa wakati wa ujauzito, madhara hayo umwadhiri mtot

Soma Zaidi...
Kivimba kwa utando wa pua

post hii inazungumzia kuhusiana na kuvimba kwa utando wa pua unaoonyeshwa na mchanganyiko wa dalili zifuatazo: Kupiga chafya Msongamano wa pua Muwasho wa kiwambo cha sikio Kuwasha kwa pua na koromeo Uvimbe huu hutokea ikiwa mashambulizi ya kupiga chafya,

Soma Zaidi...
Heti kama mtu kafany mapenzi na mtu mwe ukimwi siku hihiyo akenda hospitali kapewa dawa kweli hataweza kuwabukizwa

Swali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.

Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa gonoria (gonorrhea)

UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono.

Soma Zaidi...
je Kama utaonekana kupatwa na homa,kichwa,tumbo, kiharisha kwa siku moja( ya kwanza) na vyote kupona siku nyingine (ya pili kupona) pasipo kutumia dawa inaweza kuwa Ni dalili ya ugonjwa wa zinaa ?

Homa ni moka ya dalili inayohusiana na maradhi mengi sana. Unaweza kuwa na homa ikawa pia si maradhi kumbe ni stress tu. Je unasumbuliwa na homa za mara kwamara, Makala hii ni kwa ajili yako

Soma Zaidi...
Figo ni nini, ni yapi maradhi yake na nitajiepusha vipi na maradhi ya figo

Makala hii itakwenda kukueleza ni nini hasa hizi figo, na ni yapi maradhi yake na ni kwa namna ggani utaweza kujilinda na maradhi ya figo.

Soma Zaidi...
Walio hatarini kupata gonorrhea (gonoria)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu watu walio hatarini kupata gonorrhea gonoria

Soma Zaidi...
Njia za kufanya ukiwa na tatizo la uti wa mgongo.

Posti hii inahusu zaidi Njia za kufanya Ili kupunguza maumivu ya tatizo la uti wa mgongo, ni njia unazopaswa kufanya pale unapokuwa na tatizo la uti wa Mgongo.

Soma Zaidi...