Je kutokwa na maji ukeni ambayo hayana harufu na meupe Hadi kuroanisha chupi, na je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?Namba ya swali 000

Hali hizo ninkutokana na uchichezi wa homonibkuwa mkubwa. Na sio shida yeyite kiafya, nazungumzia majinmengi wakati wa tendo. Pia matumizi ya dawa za uzazi wa mpango huchangia kwankiasi kikubwa kwa baadhi ya wanawake. Zipo sababu nyingine piaNamba ya swali 000

Bila matumizi ya uzazi wa mpango , vp kuna sababu nyingine ? Na unanisaidiaje?Namba ya swali 000

Tofauti na hivyo kama majimaji yapo safi hayana rangi tofauti na harufu mbaya, hakuna shida kiafya, ila unaweza kumuona daktari kama hali haikupi raha.

Mfumo wa homoninndio unaohusika na halinhiyo. Hivyonkama homoni zinazalishwa kwa wingi ndio majimaji yanaongezekaNamba ya swali 000

Sawa asante sana ubarikiweNamba ya swali 000

Ubarikiwe naweNamba ya swali 000