Swali languKwanini mtu alie ng'atwa na nyoka hairuhusiwi kumpa pombe?
Pombe inaongeza mapigo ya moyo, hivyo kusambaza sumu kwa kasi Vipi kuna mtu ameng'atwa
Hapana, nimekutan na swali hilo leo