Nina swali langu:-
je maumivu ya nyonga na tumbo la chini ni dalili ya mimba?Namba ya swali 042

Mimba changa haisumbui nyonga, ila mimba ikikuwa huweza kusumbua nyonga. Maumivu ya tumbo la momba ni kama ya hedhi. Yana utofauti mdogo tu, haya ya mimba ni ya mara kwa mara.

Ila kuna ujauzito unajulikana kama ectopic pregnancy huu ujauzito unaweza kusumbua changa hata ukiwa ni wa wiki chacheNamba ya swali 042

ahsanteNamba ya swali 042