Habari ya muda huu Dokata. Nina swali hapaNamba ya swali 044

Karibu tafadhali uliza....Namba ya swali 044

Nini sababu ya kuwashwa kwa njia ya mkojo kwa wanaumeNamba ya swali 044

Huwenda unasumbuliwa na UTINamba ya swali 044

Nitumie dawa gani?Namba ya swali 044

Fika hospitali kwanza upate vipimo?Namba ya swali 044