Je ulaji wa boga unafaa kwa mgonjwa wa kisukari?Namba ya swali 045

Yes boga husaidia kwa mgonjwa wa kisukari Soma makala hii kujuwa zaidi https://bongoclass.com/matunda/bong.htmlNamba ya swali 045

Ugari wa mhogo ulio lowekwa in unafaa kwa mgonjwa wa sukari.Namba ya swali 045

Ndio unafahaNamba ya swali 045

Je mahindi yaliyo kobolewa nakulowekwa kwenyemaji kwasiku tatu ugari wake unafaa kwa mngojwa wasukari.Namba ya swali 045

Hakuna shidaNamba ya swali 045

Mtu mwenye sukari anashauriwa kula chakula kidogo km ugari ,Michele,ndizi Je? na maboga ale kidogo?Namba ya swali 045

Yes unaweza kula maboga,Namba ya swali 045

Tikti maji kwa mtu mwenye sukari anashauriwa ale.kiasigani?Namba ya swali 045

Ni ngumu sana kukueleza kiasi ila anatakiwa ale kwa kiasi kidogiNamba ya swali 045

Mtu mwenye sukari yakushuka anaweza kutumia alovera ama shubiriNamba ya swali 045

Swala la alovera bado lina utata ila kuna tafiti ilifanyika inaonyeshabkuwa Alovera inaweza kushusha sukariNamba ya swali 045