Samahn naomba niulize iv mtu anapo anza tumia arv kwa mara ya Kwanza inaweza mletea shda Zaid na kutetereka afya endapo kama katambua kapata maambukizi ya vvu mapema kabla havijazoofisha mwiliNamba ya swali 046

Kuna aina zaidi ya 40 za dawa hizo, kulingana na afya ya mtu, na stage. Nchi nyingi zimeruhusi kuanza dozi napema hata ndani ya miezi 6. Hakuna madhara kiafya kama itatolewa kwa umakini. Hata hivyo naadhi ya maeneo wanapendekeza kuchelewa kwa kuhofia mlundikizsno mkubwa wa dumu za dawa kama utaanza napemaNamba ya swali 046

Kwahiyo endapo kama mtu kapata maambukiz ndan ya wiki 4 anaweza anza tumia dawa bila hata afya yake kutetereshwa na virusi hivyo au asubiri adi afya yake itapo tetereka?Namba ya swali 046

Kuanza dawa mapema ni vizuri maana kutamfanya virusi visihame kufikia hatua ya tatu. Hata hivyo wiki nne hata virusi havijaanza kuonejana jwrnye vipomo,Namba ya swali 046

Okay na je afya itabaki kua imara au itayumba kwasabu ndo atakua kaanza kutumia arv kwa mara ya kwanzaNamba ya swali 046

Afya itaendelea kuwa imara. Ijapokuwa kabla dawa hajazizoea kuna mabadiliko anaweza kuyaona ila nibya muda na sinkwa qatu wote. Kwa mfano kujisabhanu ya kula na mengineyo. Ila baada ya kuzizoea itakuwanni kawaida, na afya yake itakuwa sana na watu wengine.Namba ya swali 046

Okay asante nimekuelewa...Namba ya swali 046