Nina vidonda kwenye uume wangu, je ni dalili ya nini?

Nina vidonda kwenye uume wangu, je ni dalili ya nini?

Nina vidonda kwenye uume wangu, je ni dalili ya nini?

Jaman mim sijielewi Nina vidondo kwenye uumeo n upele unao washa San sas sielewi



Namba ya swali 047

Una vidonda kwenye Uume, na vipele vinavyowasha. Vipi ukifika hospitali?



Namba ya swali 047

Bado sijafika lakin naogopa san maan vimenitokea pak kwenye makalio na vinawasha sana au ndy dalili moja wapo ya vvu maan paka nachanganyikiwa



Namba ya swali 047

Kwa tofauti na hali hiyo una dalili za HIV? maana hivyo vipele pekee sio dalili ya HIV



Namba ya swali 047

Hapan hakuna dalili zaid ya vipele je inaweza kua ugonjwa gan sas



Namba ya swali 047

Inaweza kuwa kisonono



Namba ya swali 047

Ni gonjwa la ngono maana ndiyo naliskia kwako lakini vipele vipo paka kwenye mapaja na chin ya kitovu kidogo ndugu yangu napta shida sana nisaidie



Namba ya swali 047

Kisonono haiweI leta vipele kwenye maeneo mengine. Yenyewe inaleta vidonda na usaha kwenye uume. Mara chache sana kuketabvipelenkwenye uume.



Namba ya swali 047

Hewenda una fangasi kali sana. ama kuna bakterei wanakusumbua hapo



Namba ya swali 047

Kiukwel dalili yoyt ya HIV xjaion vipele hivi ndy nashindwa kuelwa nikipata joto nawashwa san ndg yangu paka kwenye mapumbu vipele vipo



Namba ya swali 047

Ukipata muda kacheki huwenda ni fangasi,



Namba ya swali 047

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 6922

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉3 web hosting     👉4 ai web app     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

Mimi kwenye korodani yai moja limezungukwa na majimaji ,na haya maji yamekuwepo toka utotoni mwangu lakin bado sijayaona matatizo yake , je kitaaramu hii inaweza kua na athari gani? ,Naombeni ushauri

Korodani ni kiungo muhimu kwa mwanaume, katika afya ya uzazi. Unaweza kusema ni kiwanda cha kutengeneza mbegu za kiume. Kiungo hiki ni sawa na ovari kwa mwanamke.

Soma Zaidi...
Mbinu za kupunguza Kichefuchefu

Point hii inahusu zaidi mbinu za kupunguza Kichefuchefu hasa kwa wagonjwa na watumiaji wa madawa mbalimbali yanayoweza kusababisha kichefuchefu.

Soma Zaidi...
Lazima matiti kuuma ka mimba changa?

Kuuma mwa matiti ni moka ya Ichiro kuwa huwenda ni ujauzito. Hii haimaanishi etindio mjamzito, zipo dalili nyingi za ujauzito. Hata hivyo kuona dalili za ujauzito haimaanishi umepata tayari ujauzito. Kwanza fanya vipimondipo Upate uhakika

Soma Zaidi...
Vyakula vya kuongeza hamu ya tendo la ndoa

Posti hii inahusu zaidi vyakula mbalimbali vya kuongeza tendo la ndoa, kwa kawaida kuna vyakula mbalimbali ambavyo watu ukitumia ili kuweza kuongeza tendo la ndoa vyakula hivyo ni kama tutakavyoona hapo baadaye

Soma Zaidi...