mm nahis miguu pamoja na mikono kuishiwa nguvu ni mgongo kuuma ni dalili za ugonjwa gan ?Namba ya swali 048

Wewe ni mwanaune au mwanamke?Namba ya swali 048

Mwanaume

mwanzo mgongo na kichwa vilikuwa vinauma kwa sasa ni miguu na mikono nguvu sina mpaka natetemekaNamba ya swali 048

Umepima UTI? na TYPHOD, ama ulishawahi kupata TB?Namba ya swali 048

bado sijaenda hospital natafta hela lakini na tumbo linanyonga sana pamoja na mshipa chini ya kitofu unasumbua nisaidie kakaNamba ya swali 048

Kaka kwanza ungekwenda pata vipimo, maana tumbo na mgongo huchanganya mambo mengi, bila vipimo ni ngumu sana kutambuwa vinginevyo onana na daktari yeyote ana kwa ana, huwenda akatambua zaidi kama hujapanga kwenda hospitaliNamba ya swali 048

sawa kakaNamba ya swali 048