Umetaja faida za matunda , mimi ninataka kujuwa
Je miwa ina madhara yoyote?Namba ya swali 049

Mmmh moja katika madhara ya miwa ni kuongeza uzito wa mwili endapo mtu ataila sana kupitilizaNamba ya swali 049

Sukari inayopatikana kwenye matunda ina madhara gani?Namba ya swali 049

Sukari ya kwenye matunda ya asili kama vile muwa, ndizi, inamadhara gani mwilini?Namba ya swali 049

Haina madharaNamba ya swali 049

Sukari ilyoko kwenye matunda inaweza kupelekea mapigo ya moyo kwenda kasiNamba ya swali 049

Inawwza kama itakuwa nyingi sanaNamba ya swali 049

Kitaalamu mtu anatakiwa kula muwa kiasi gani? Kwa sikuNamba ya swali 049

Je unasumbuliwa na maradhiNamba ya swali 049

Maana kitaalamu hakuna madhara ya kiafya kwa kuka muwaNamba ya swali 049

Mapigo ya moyo huenda kasi hivyo nahofia kula sukari ya muwa na ndizi (nadhani inaweza kuongezatatizo hilo ) kwa hilo unaonaje au niendelee tu kula miwa na ndizi?Namba ya swali 049

PunguzaNamba ya swali 049