Je, mtu mwenye dalili zifuatazo Kama, Mapigo ya moyo kwenda mbio, mwili kuchoka,kichefuchefu, kizungungu, joto kiasi.
Wa kike ama kiume?
Wakike
Amepima ujauzito?
Ndio hana
Huwa anasumbuliwa na presha?
Mara chache uwa imashuka
Ameshawahi kusumbuliwa na shida nyingine ya kiafya hivi karibuni?
Vidonda vya tumbo
Vidonda vya tumbo vinaweza kuwa ndio sababu za shida yake, maana hozo ulizotaja ni
baadhi pia ya daili za vidonda vya tumbo.
Fikeni hospitali kwa vipimo zaidi
Ok tutakwenda, Ahsante