Abali mkuu Nina mdogo wangu anawashwa Sana sehemu ya Siri mpaka anatoka vipele vingi kwenye mapaja korodani zake zimebadilika kuwa nyekundu na zenye kutisha uume wake nao umekuwa unakama mabaka umebabuka aisee nime angaika Sana kumtibia mpaka nakata tamaa mpaka kufikia hapa nimetumia pesa nyingi Sana na Hali ya maisha yetu sio azur Kwa kwel sijui. Unanisaidia vip
kijana wako anasumbuliwa na fangasi
Nifanyaje sasa daktari?
Fikeni kituo cha afya atapata matibabu na atapona bila ya wasi