Nina shida...nina upungufu wa damu HB 4 niko nyumban maana hispitali nimeruhusiwa ila nina kizungu zungu muda wote na kichwa kinauma nifanyeje??Namba ya swali 053

Sorry nilikuwa bize sana sikujibu sms yako. Umesema una upungufu wa samuy na umeruhusuwa nyumbani, unasumbuliwa na kizunguzungu Pole sana. Je uliongezewa damu? Ama ulipewa maelekezo gani?Namba ya swali 053

Nilpewa vdongeNamba ya swali 053

Kizunguzungu, na mapigo ya moyo kwenda mbio ni kwa sababu ya damu. Itakapo kaa sawa hutasikia tena hali hizo. Jatibu kukaa chini ama kulala pindi unapopata kizunguzunguNamba ya swali 053

Ahsante sana..Nashukuru kwa kujaliNamba ya swali 053

Ahsante pia, samahani sana kwa kuchelewa kukujibu. Tupo pamoja ukihitaji ushauri zaidi usisite kuwasiliana namiNamba ya swali 053

Sawa...nashukuruNamba ya swali 053