Asanteni sana kwa somo zuri la protini naombeni kujua nikiasi gani chaprotini kinachohitajika mwilini kwa siku kwa mtumzimaNamba ya swali 054

Gram 46 kwa mwanamke na 56 kwa msanaumeNamba ya swali 054

Je sapliments za protini zinawezakua njianzuri kuonngeza viwango vya protini mwilini?Namba ya swali 054

Kama kuna uwezekano wa kupata protini asilia ni njia nzuri zaidi. Ila kama ni katika wanaijitaji pritini jwa haraka kama body building ukitumia saplinenti haitadhuri.Namba ya swali 054