Habari...!
Pumbu langu linawasha sana, na nikilikuna linakuwa jekundu na kubabuka. Je ni dalili ya nini?Namba ya swali 055

Sorry jana sikuweza kujibu sms yako. Pole sana. Umesema unawashwa pumbu. Hii ni daliki ya fangasi. Fangasi hawa huwa wanaweza kupona kwa urahisi kama utafata masharti vyema. Fika duka la dawa jirani nawe, nunua ya kupaka, kama ndani ya wiki 2 hutapona fika kituo cha afyaNamba ya swali 055

Ahsante kwa kunifahamishaNamba ya swali 055