Naomba kuuliza swali

Je mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?Namba ya swali 057

NdioNamba ya swali 057

Kivipi?Namba ya swali 057

Kama atatumia kinga vyema yaani kondom Kama hakutayokea kichubuko, wakati wa tendo. Kama muathirika ametumia ARV mapema ama kwa muda mrefu na ikafikia hatua vipimo havisomi HIV. Na sababu zinginezoNamba ya swali 057

Kivipi michubuko isitokee?Namba ya swali 057

Michubuko inaweza isitokee endapo uke ulijuwa na majimaji mengi, ama kunetumika vilainishi, ama staili iliyitumika kwenye tendo. Ama kama mume mkubwa kuliko mkeNamba ya swali 057

Asante kwa elimuNamba ya swali 057

Karibu tenaNamba ya swali 057