Habari...!! Nahis dalil nna mimba ila nikipim cna
Dalili gani
Naend haja ndogo Mara kwa Mara maziwa yamejaa natok damu kidg yeny rang km ya kagwia kichefu chefu uchovu
Kipimo cha mkojo huchelewa kuonyesha majibu. Baada ya wiki pima tena. Kama huna mimba baada ya kupima. Huwenda ni homoni zimetingishika kidogo