Dr huwa nasikia maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?Namba ya swali 059

Yes vidonda vya tumbo vinaweza kusababisha maumivu ya mgongo. Ila kumbuka hizi ni dalili tu. Ni vyema kwendabkuthibitisha hospitaliNamba ya swali 059

sawaNamba ya swali 059