Habar za mdahuu!!! pole na majukum yako, nimetembelea kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu maswala ya afya, sasa nikakuta sehemu ya kutoa maoni au kuuliza swali, kuhusu ugonjwa wa gonorhea, swali langu niivi mfano mtu ametoka kusex, jana alafu Leo akikojoa mkojo una muhuma na Wa mwisho unatoka damu, itakuwa ugonjwa gani eti, samahan kwa usumbufu kama utanisaidia nitashukulu sana ahsanteNamba ya swali 006

Rangi ya mkojo wako kuwa mwekundu inaweza kuwa kuna damu inaingia kwenye mkojo. Damu hii inaweza kuashiria vitu kadhaa ambavyo nu hatari sana kwa afya yako. Kwa mfano kama rangi ya mkojo wako ni nyekundua na pink na ikawa sababu yake ni kuchanganyikana na damu, basi hapa tunaweza kusema kuwa: huwenda mtu huyu ana kichocho, au UTI, korodani linashida, ana mauvimbe yanayosababishwa na saratani, ana shida kwenye figo,amekimbia kwa umbali mrefu na kwa muda mrefu,ana vijiwe kwenye figo ama kwenye kibofu. Kama mkojo una rangi nyekundu hivyo moja kati ya hizo huwenda ndio sababu.

Hivyo basi ni vyema kwenda kupima ujuwe ni nini hasa chanzoNamba ya swali 006

NimekuelewaNamba ya swali 006

Kujuwa zaidi mabadiliko ya rangi za mkojo na afya yako bofya hapaNamba ya swali 006