Je ukifanya mapenz na mtu mweny aina hi ya fangasi na akawa anayo maambukizi ya ukimwi.lakin wew ukawa hauna maambukizi unaweza ukaambukinza hao fangasi???Namba ya swali 060

Aina ipi uliyokusudiaNamba ya swali 060

Ya fangasi wa mdomn ambao huwapata hasa wale weny MAAMBUKIZI YA HIVNamba ya swali 060

Yes unaweza kupata hawa fangasi. Ila hili halimaanishi utaumwa kama yule aliyekupa. Ni kwa sababu ili fangasi wasababishe madhara lazima wakutane na mazingira wanayoyataka kule wanakokwendaNamba ya swali 060

Ooh sawa...asante kwakunifahamisha..na pia kama mtu akapatwa natatizo la kolodani moja kuvimba nakujiskia maumivu niugonjwa gani na pia husababishwa nanNamba ya swali 060

Ok Kwa maimivu hayo sio shida sana kiafya kama sio makali sana kiasi cha kushindwa kufanya shughuli zako, na yataondoka hivi punde. Zifuatazo zinaweza kuwa sababu
1. UTI 2.
Shughuli
3. Kama mishipa i.ejibana hasa wakati wa kulala, ama kufanya shighuli
4. Huyokea pia kama kuna bakteriaNamba ya swali 060

Nilipoend hospital nimepew dawa ya piroxicam zakunya nasindano 5 asa nikawa cjui tatiz limetokana nann na linaitwaje ndoman nikajalibu kufatilia gugo nandpo nilipo pata mawasilian nawweNamba ya swali 060
-->