Nimesoma makala yenu, sasa nina swali
Je kitunguu saumu kina madhara kwa Mgonjwa wa figo?Namba ya swali 000

Yes kitunguu saum ninkuzuri kwa figo. Vyakuka vingine vizuri kwa figo ni
1. Kabichi
2. Kitunguu saumu
3. Sehemu nyeupe ya yai
4. Na vinginevyo

Pia si salama vyakula vifuatavyo:-
1. Viazi vyeupe
2. Nyama nyekundu
3. Bidhaa za maziwa
4. Vinywaji vya dukani vyenye sukari
5. Palachichi
6. Ndizi
7. Pombev 8. Kiini cha yaiNamba ya swali 000

Ahsante kwa ushauriNamba ya swali 000