Naomba unisaidie:-
Nataka nijue siku ya kubeba mimba mwanamkeNamba ya swali 063

Unataka kujuwa siku ya kubeba mimba mwanamke, Mzunguuko wake wa siku zake una siku ngapi?Namba ya swali 063

Ana umri wa miaka 21, na anapata hedhi kila tarehe 17 ama 21 ya kila mwezi.Namba ya swali 063

Inamaana siku za mzunguko wa hedhi ni 30 au 34. Hivyo siku hatari zinawwza kuwa ni kati ya siku ya 14 mpaka 22 toka upate hedhi. Moja karmti ya siku hizo upo uwezekano wa kupata mimba.
Siku hiyo itakuwa na sifa hizi:-
1. Joto la mwili litaongezeka ila si homa
2. Utakuwa na hamu sana ya kukutana na mumeo
3. Majimaji ya ukeni yataongezeka.Namba ya swali 063Namba ya swali 063Namba ya swali 063Namba ya swali 063Namba ya swali 063Namba ya swali 063
-->