Nataka kujuwa kuhusu dalili za mimba changa ndani ya wiki mojaNamba ya swali 064

Dalili za mimba ndani ya wiki moja zipo nyingi Ila utambuwe kuwa sio rahisi kuziona dalili za mimba changa ndani ya wiki moja. Kwa sababu mwili haujapata mabadiliko ya kutosha kuonyesha dalili.

Hapa nitakutajia Baadhi tu ya dalili ambazo huwenda zikaonekana mwanzoni mwa ujauzito. Huwenda zikaonekana ndani ya wiki moja ama zaidi.Namba ya swali 064

Tafadhali nitajie dalili hizo, maana ninapata maumivu ya Tumbo toka nilipofanya tendo la ndoa.Namba ya swali 064

Dalili za mimba changa ndani ya wiki moja ni kama zifuatazo

 1. Kutokwa na matone ya damu machache ukeni
 2. Kichwa kuuma ama kuwa chepesi siku chache toka uliposhiriki tendo la ndoa
 3. Kupatwa na kizunguzungu cha ghafla
 4. Maumivu ya tumbo kwa chini
 5. Joto la mwili kuongezeka
 6. Kuongezeka kwamajimaji ukeni
 7. Kuuma kwa matiti


Dalili nyingine za mimba changa
 1. Kukosa hedhi
 2. Kichefuchefu
 3. Kuwa na mabadiliko badiliko kwenye hisia mara unachukia hiki mara unapenda hiki
 4. Kukojoa mara kwa mara
 5. Mabadiliko ya rangi za chuchuNamba ya swali 064

Ahsante kwa maelezoNamba ya swali 064

karibu tenaNamba ya swali 064