Habari yako Dokta...!!

Kwanini najihisi mchovu alafu tumboni kunavitu navihisi vinacheza sielewiNamba ya swali 007

Pole sanaNamba ya swali 007

Pia Mate kujaa mdomoni kutamani baadhi ya vyakula nanimetoka sikuzangu mda kama wiki mbili zilizopitaNamba ya swali 007

Pole sana, una muda gani na tatizo hiloNamba ya swali 007

Wiki yapili sasaNamba ya swali 007

Ulikutana na mwenzio lini? na Siku ya mwisho kuona hedhi ilikuwa lini?Namba ya swali 007

Lakini hata kabla ya kuona hedhi yangu ya mwezi uliopita nilikuwa nahisi hali kamahii mara maziwa kuuma na kujaa napia hii hedhi ilikuwa inatoka nyepesi Sana sio kawaida yadamu inatakiwa iwe nzitoNamba ya swali 007

Ni mabadiliko ya homoni katika mwili wako ndio yanasababisha hayo. Inaweza kuwa sababu. Hali inaweza kukaa sawa baada ya muda.

Sababu nyingine ni kama:

1. Matumizi ya dawa za uzazi wa mpango

2. Maradhi ya ovari

3. Huwenda una PID (mashambulizi ya bakteria)Namba ya swali 007

Mimba yangu yakwanza nilikuwa ninaujauzito lakini niliingia kwenye siku zangu takribani miezi mitata then ikakata mpaka nilivyo jifunguaNamba ya swali 001

Siinatokeaga kwamba kunamwanamke anaujauzito lakini anaona siku zake kamakawaida au kunakuwa na tatizoNamba ya swali 001

Hedhi kuwa nyepesi inaweza kuwa ni kwa sababu mwezi uliopita hakuna yai likilo komaa, ama kuna sawa za uzazi wa mpango unatumia. Ama lia ulikuwa na mawazo yaliyokusumbua. Maumivu ya matiti, na kichefuchefu ijapokuwa ni dalili za ujauzito lakini pia huashiria mabadiliko ya homoni, ama maradhi katika mfumo wa uzazi kama maradhi ya ovari. Kuhisi vitu kutembea inawwza kuwa ni kwa sababu ya gesiNamba ya swali 001

Ndio upo uwezekano huo, ana ujauzito na anapata siku kwa uchache, na damu hii ni tofauti na ya hedhi. Kitaalamu inafahamika kama implantation bleedingNamba ya swali 001

Nimekuelewa. Nina swali lingine doktaNamba ya swali 001

yes Uliza tafadhaliNamba ya swali 001

Kwanini natokwa na uchafu mweupe sehem za Siri haushiNamba ya swali 001

Umepima PID?Namba ya swali 001

Nilikuwa na UTI lakini niliitibuNamba ya swali 001

Fika kituo cha Afya kisha pima PID na uhakikishe tena kama UTI ilikwisha kabisaNamba ya swali 001