Watu waliomshambulia sayidna aliNamba ya swali 008

Waliomshambulia Sayidna Ali na kumuuwa walikuwa ni makhawariji. Tafadhali soma makala hapo chini ufahamu zaidi bofya hapaNamba ya swali 001

Mtume alifurahia ushauri wa Nani katika Vita vya uhudiNamba ya swali 001

Ungefaganua kidogo swali, ulikuwa ushauti katika maswala gani?Namba ya swali 001

Katika uchimbaji wa handakiNamba ya swali 001

Hivi havikuwa vita vya uhudi ila vilikuwa ni vita vya handakiNamba ya swali 001

Aliyetoa ushauri wa kucjimba mahandaki alikuwa ni Salman al Fatis, Hivyo Mtume aliipenda rai hii ya kuchimba MahandakiNamba ya swali 001