Assalamu Alaykum Warahmatu-llah Wabarakaatuh Naomba kuuliza: Je kama maiti imekatika baadhi ya viungo je viungo vyake tunafata utaratibu gani katika kumuosha na kumkafini? Assalamu AlaykumNamba ya swali 009

Waalykum salaamu warahmatullah wabarakaatuhNamba ya swali 009

Itafaha kuoshwa vitakavyopatikana, na kuvalishwa sanda kwa kuzungushiwa kama hakuna uwezekano wa kuvalishwa kwa kawaida.Namba ya swali 009

ShukranNamba ya swali 009

Allah ndiye anajuwa zaidiNamba ya swali 009