quran tahadhari
TAHADHARI KWA WASOMAJI WA QURAN Wasomaji wa qurani wawe na tahadhari katika usomaji wao.
![]()
TAHADHARI KWA WASOMAJI WA QURAN
Wasomaji wa qurani wawe na tahadhari katika usomaji wao.
TAHADHARI KWA WASOMAJI WA QURANI
Mtume ameamrisha watu waihifadhi qurani. na sihivyo tuu Mtu aliyehifadhi qurani ajitahidi anafanya jitihada isije akaisahau. Katika hadithi sahihi Mtume anazungumzia kuwa qurani itakimbia kama inavyokimbia kamba ya ngamia.
Kusahau qurani baada ya kuihifadhi ni katika madhambi. Hivyo wasomaji wa qurani tujitahidini kuihifadhi na kuhakikisha pale tulipopahifadhi tunapashikilia pasiondoke. Amesimulia Anas ibn Maliki kuwa Mtume amesema “nilioneshwa malipo ya uma wangu (nikaona kuna malipo ) mpaka kwenye uchafu anaouondoa mtu msikitini. Na nilioneshwa madhambi ya uma wangu, basi sikuona dhambi kubwa kuliko sura katika qurani au aya aliyopewa mtu kisha akaisahau” (amepokea Abuu Dauw, Tirmidh na Ibn Majah).
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Kitabu Cha Darsa za Quran
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Dai kuwa Muhammad (s.a.w) alitunga Qur-an ili kuleta Umoja na Ukombozi wa Waarabu:
(vii)Dai kuwa Muhammad (s.
Soma Zaidi...