RATIBA YA CHANJO YA KIFUA KIKUU


image


Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kifua kikuu, hiii ni ratiba ambayo chanjo hii utolewa na ushauri mbalimbali utolewa ili kuweza kufanikisha kazi ya chanjo hii


Ratiba ya chanjo ya kuzuia kifua kikuu.

1.Tunajua wazi kuwa ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa ambao unaleta matatizo sana kwenye jamii hasa ikishambulia watoto uweza kuleta madhara makubwa kama vile kudumaa, kuokoa na mambo ya ukuaji kwa mtoto urudi nyuma kwa hiyo tunapaswa kupambana na ugonjwa huu ili kuweza kuwafanya watoto wakue kwa afya njema.

 

2.Chanjo hii utolewa mara moja tu pale mtoto anapozaliwa na kiwango cha kutoa chanjo huu ni kidogo sana kuliko chanjo nyingine ambacho ni sifuri nukta sufuri, sifuri tano na utolewa kwenye bega la kulia kwenye ngozi nya juu na Chanjo hii inapotolewa kovu lazima lionekane lisipoonekana chanjo urudiwa upya.

 

3.Wakati wa kutoa chanjo hii kuna maudhi madogo madogo yanaweza kutokea kama vile homa kali lakini homa hii isizidi masaa ishirini na manne na yakizidi na homa bado ipo mtoto anapaswa kupelekwa hospitalini kwa uangalizi zaidi .Na wakati mwingine mtoto anaweza kupata kipu kwenye bega yaani sehemu alipopatiwa chanjo kwa hiyo hilo jipya halipaswi kupasuliwa na ukiona sio la kawaida mpeleke mtoto hospitalini kwa uangalizi zaidi.

 

4.Kwa hiyo tunaona kwamba chanjo hii ina faida kubwa tunapaswa kuwapeleka watoto ili waweze kupata ili kuepuka kuwepo kwa kifua kikuu kwenye jamii na wale ambao hawaelewi wanapaswa kupewa elimu ili waweze kuacha imani potovu juu ya chanjo hizi zenye manufaa na umuhimu mkubwa kwenye jamii



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    5 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya php    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Huduma kwa wanaotoa damu yenye mabonge
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wanaotoa hedhi yenye mabonge, ni tatizo ambalo uwakumba wasichana hata wanawake wakati wa hedhi. Soma Zaidi...

image Baadhi ya maradhi yanayosababishwa na hali za maisha
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya maradhi yanayosababishwa na hali za maisha Soma Zaidi...

image Vyakula kwa wenye matatizo ya macho
Posti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo wanapaswa kutumia watu wenye matatizo ya macho,ni vyakula ambavyo uhimalisha mishipa na sehemu nyingine za jicho na kufanya jicho lisiwe na matatizo kwa sababu tunajua wazi kuwa vyakula ni dawa. Soma Zaidi...

image Ujue ugonjwa wa tauni
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa tauni ambao kwa kitaalamu huitwa plague ni Ugonjwa unaosababishwa na wadudu ambao huitwa kitaalamu huitwa yersinia pestis ambao ukaa ndani ya panya. Soma Zaidi...

image Dalili za kuvunjika kwa nyonga
Kuvunjika kwa nyonga ni jeraha kubwa, na matatizo ambayo yanaweza kuhatarisha maisha. Hatari ya kupasuka kwa nyonga huongezeka na umri. Soma Zaidi...

image Umuhimu wa kupiga push up kiafya
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kupiga push up kiafya, ni mambo au faida zipatikanazo ki afya kwa wapigaji wa push up kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Kichwa kinaniuma mbele sielewi nini
Zijuwe sababu za kuumwa nankichwa upande mmoja wa kichwa. Soma Zaidi...

image Dawa za kutibu kiungulia
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya dawa za kutibu kiungulia Soma Zaidi...

image Vyakula hatari na salama kwa vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukuletea orodha ya vyakula hatari na salama kwa vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

image Yajue mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi (cellulitis)
Mashambulizi ya bacteria kwenye Ngozi hujitokeza sehemu yenye jeraha pia huonyesha wekundu wenye upele,Uvimbe na malengelenge. Soma Zaidi...