Sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa

Posti hii inahusu zaidi sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa, Mgonjwa akiwa anaumwa na pia anakula chakula ni lazima asafishwe kinywa Ili kuweza kuepuka madhara mengine yanayoweza kujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa uchafu kinywani.

Sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa.

1.Tunamsafisha Mgonjwa kinywa ili tuweze kusafisha mdomo na meno kwa sababu kuna baadhi ya masalia ubaki mdomoni pindi tunapimlisha mgonjwa na pia kufanya meno ya mgonjwa juwa safi.

 

2. Tunamsafisha mgonjwa kinywa ili kuweza kuzuia kuaribika kwa meno na pia kuzuia maambukizi zaidi ya meno kwa sababu kuna vyakula vingine vinakuwa na sukari kwa hiyo vikikaa kwa mda bila kusafishwa Mgonjwa anaweza kupata Maambukizi kutokana na uchafu au meno kuoza.

 

3. Kuongeza mzunguko wa damu kwenye sehemu za kinywa, kama kuna uchafu ni vigumu damu kuzunguka kwa urahisi ila kama hakuna uchafu damu inaweza kusafili kwa urahisi kwenye kinywa cha mgonjwa.

 

4. Pia tunamsafisha Mgonjwa kinywa ili aweze kuwa huru na kuzuia harufu mbaya kwenye mdomo kwa hiyo kinywa likiwa kisafi na hamu ya kula ya mgonjwa uongezeka na pia katika kumfanyia mgonjwa usafi kinywani tunaweza kuondoa mabaki kinywani mwa mgonjwa.

 

5.Kwa hiyo tunapaswa kuwahudumia wagonjwa wetu vizuri na kuwaweka kwenye hali ya usafi kwa sababu na wenyewe wana hamu ya kuwa safi kwa hiyo tukiwa na wagonjwa nyumbani tuwahudumie na kwa kufanya hivyo tunaweza kuepusha hatari mbalimbali.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/18/Friday - 12:02:05 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 513

Post zifazofanana:-

Namna Ugonjwa wa UKIMWI unavyoambukizwa.
UKIMWI (acquired immunodeficiency syndrome) ni hali ya kudumu, inayoweza kutishia maisha inayosababishwa na virusi vya ukimwi (VVU) Kwa kuharibu mfumo wako wa kinga, VVU huingilia uwezo wa mwili wako wa kupambana na viumbe vinavyosababisha magonjwa. Inawe Soma Zaidi...

Njia za kuzuia upele
Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kuzuia upele, ni njia ambazo utumiwa Ili kupunguza tatizo la upele kwenye jamii, kwa hiyo jamii inapaswa kutumia njia hizi Ili kuweza kupambana na ugonjwa huu ambao unatibika. Soma Zaidi...

Dalili za Homa ya uti wa mgongo (meningitis)
Posti hii inahusu zaidi dalili za Homa ya uti wa mgongo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye maambukizi kwenye uti wa mgongo. Soma Zaidi...

Kwanini Ni muhimu kusimamisha uislamu katika jamii
Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Zaituni (Olive)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive Soma Zaidi...

Faida za mbegu za maparachichi.
Posti hii inahusu zaidi faida za mbegu za maparachichi, kwa kawaida tunajua wazi faida za maparachichi pamoja na faida za maparachichi kuna faida kubwa katika mbegu zake kama tutakavyoona Soma Zaidi...

Sababu za kshuka surat al Asr
Sura hii ni katika sura za kitawhidi sana. Maulamaa wanasema inatosha sura hii kuwa ni mawaidha. Imamu sharifu anasema kuwa sura hii inatosha kuwa muongozo… Soma Zaidi...

Dalili na ishara za kuvimba kope.
Posti hii inaonyesha Dalili na ishara za kuvimba kope ambayo kitaalamu hujulikana Kama blepharitis. Soma Zaidi...

Baadhi ya maradhi yanayosababishwa na hali za maisha
Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya maradhi yanayosababishwa na hali za maisha Soma Zaidi...

Dalili za kasoro ya moyo za kuzaliwa kwa watoto
Ikiwa mtoto wako ana kasoro ya moyo wa kuzaliwa, ina maana kwamba mtoto wako alizaliwa na tatizo katika muundo wa moyo wake. Baadhi ya kasoro za moyo za kuzaliwa kwa watoto ni rahisi na hazihitaji matibabu, kama vile tundu dogo kati ya chemba za moyo amb Soma Zaidi...

Dalili za upungufu wa maji mwilini.
Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji. Soma Zaidi...

Athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo.
Posti hii inahusu zaidi athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo, tunajua kubwa mama kama ana ugonjwa huu anaweza kumwambikiza mtoto na mtoto akazaliwa na Ugonjwa huu. Soma Zaidi...