Sababu za kuumwa na tumbo, chini ya kitomvu ama upande wa kulia

Post hii inakwenda kukutajia baadhi tu ya sababu zinazopelekea kuumwa na tumbo. Hali hizi zinawweza kuwapata watu wa jinsia zote katika umri wowote ule. Ijapokuwa nyingine si kwa wote ni kwa baadhi ya watu. hapa nitakuletea sababu 5 tu.

Swali:

Unaweza kunitajia sababu kama 5 za maumivu ya tumbo?

 

Jibu:

maumivu ya tumbo yanaweza kuwa hali tata sana ambao sio rahisi kujiwa chanzo bila ya vipimo. hata hivyo kwa dalili unaweza kuhisi sababu ya maumivu haya. kwa mfano wanawake wengi huelewa kama maumivi wanayoyapata ni kwa sababu ya kukaribia ama kuingia kwenye siku zao. Na wapo pia baadhi ya wanaume wanajuwa kwa dalili kuwa anasumbuliwa na ngiri.

 

Hizi ni baadhi ya sababu za maumivu ya tumbo:

1. Kuwa na aleji huwenda ni ya Vyakula ama matumizi ya dawa

2. Kukosa choo

3. kuwa na vidonda vya tumbo.

4. Hutokea pia utumbo kuziba

5. Maradhi ya Typhod

 

Sababu nyinginge ni kama:

1. Ngiri

2. Kidole tumbo ama (apendix)

3. tumbo kujaa gesi

4. Shida kwenye baadhi ya viungo vya ndani kama figo na ini.

5. Hernia

 

Ushauri:

Kama unasumbuliwa na maumivu ya tumbo makali yasiokoma, fika kituo cha afya kwa ajili ya kupata vipimo na matibabu.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021/11/14/Sunday - 12:52:45 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1489


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-

Mambo ya kuzingatia kabla ya upasuaji,
Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo Soma Zaidi...

Fangasi mdomoni ni dalili ya minyoo aina gani
Zipo aina nyingi za fantasy ambazo ni rahisi kuathiri binadamu. Wipe ambao haiathiri mdomo, nyayo, shemu za siri na kwenye ngozi. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa watoto chini ya miaka mitano (UTI)
posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye mfumo wa mkojo ambapo kitaalamu hujulikana Kama UTI(Urinary Tract Infection (UTI)) hufafanuliwa kuwa ni maambukizo ya mfumo wa uzazi ambayo yanahusisha urethra.'UTI ni maambukizi ya mfumo wa mkojo, m Soma Zaidi...

Uchunguzi wa kuharisha damu na tiba yake
Posti hii inahusu zaidi uchunguzi wa kuharisha damu na Tiba yake, ni Ugonjwa ambao unaowashambulia sana watoto hasa wenye chini ya umri wa miaka mitano, kwa hiyo huoaugonjwa tunaweza kuutambua na kutibu kwa njia zifuatazo. Soma Zaidi...

Sababu za maumivu ya tumbo kitovuni
Somo hili linakwenda kukuletea sababu za maumivu ya tumbo kitovu i Soma Zaidi...

dalili za Uvimbe kwwnye jicho (sty)
Sty ni uvimbe mwekundu, chungu karibu na ukingo wa kope ambalo linaweza kuonekana kama jipu au chunusi. Sties mara nyingi hujazwa na usaha. Mtindo kawaida huunda nje ya kope lako. Lakini wakati mwingine inaweza kuunda kwenye sehemu ya ndani ya kope lak Soma Zaidi...

DALILI ZA MIMBA BAADA YA TENDO LA NDOA
Je unahitaji kujuwa kama umepata ujauzito baada ya kufanya tendo la ndoa? hakika sio rahisi ila kama utakuwa makini utaweza. Soma Zaidi...

Dalili za maambukizi kwenye nephroni
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye nephroni, uweza kutokea kwenye figo Moja au zote mbili. Soma Zaidi...

Fahamu Ugonjwa wa uti wa mgongo kwa watoto uitwao poliomyelitis
Poliomyelitis ni kuvimba kwa suala la kijivu la uti wa mgongo na wakati mwingine sehemu ya chini ya ubongo Soma Zaidi...

Ugonjwa wa degedege na dalili zake
Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo Soma Zaidi...

Uvimbe wa mishipa midogo ya Damu kwenye ngozi
Posti hii inazungumzia kuhusiana na uvimbe wenye uchungu wa mishipa midogo ya damu kwenye ngozi yako ambayo hutokea kutokana na ongezeko la joto la ghafla kutokana na halijoto ya baridi. Pia inajulikana kama pernio, chilblain inaweza kusababisha kuwasha, Soma Zaidi...