Posti hii inahusu zaidi sababu za mfuko wa kizazi kushindwa kisinyaa, ni sababu ambazo utokea kwa akina Mama wengi kadri ya wataalamu wametafuta asilimia kuwa asilimia sabini ya wanawake mifuko yao ya kizazi kushindwa kisinyaa.
1. Kwa kawaida Mama akimaliza kujifungua hatua inayofuata ni kutoa kondo la nyuma na kutoa dawa ya oxytocin Ili kuweza kusaidia kusinyaa kwa mfuko wa kizazi wanawake wengine mfuko wa kizazi hausinyai kwa sababu mbalimbali kama tutakavyoziona hapo chini na mfuko wa kizazi usiposinyaa usababisha kutokwa kwa damu nyingi na kusababisha upungufu wa damu kwa akina Mama au kama hakuna matibabu kifo kinaweza kutokea.
2. Sababu ya mfuko wa kizazi kushindwa kisinyaa usababishwa na uchungu kuwa wa mda mrefu na mtoto hatoki tumboni, hali hii usababisha mfuko wa kizazi kuendelea kutaanuka sana na kusababisha kutosinyaa baada ya Mama kujifungua. Kwa hiyo wakunga na wahudumu wengine ni vizuri kuona dalili za mapema Ili kuweza kunisaidia Mama pale uchungu unapotumia mda mrefu kuliko kawaida.
3. Kushindwa kumhudumia Mama vizuri hasa pale anapojifungua na kumchoma dawa ya oxytocin Ili kusaidia uterus iweze kusinyaa.
Kwa wakati mwingine hii sindano usahaulika au kuchomwa vibaya hali inayosababisha mfuko wa uzazi kushindwa kisinyaa na kusababisha kuendelea kuwepo kwa damu baada ya kujifungua.kwa hiyo wauguzi na wahudumu wanapaswa kujiandaa mapema Ili kuweza kuwasaidia akina Mama waweze kujifungua salama bila kutokwa na damu nyingi.
4. Kutanuka kwa uterus.
Kwa wakati mwingine Kuna tatizo la kutanuka kwa mfuko wa uzazi hasa hasa kwa wanawake wenye matumbo makubwa wako kwenye hatari ya kupata tatizo hili kwa sababu mfuko wa uzazi unakuwa umetanuka sana hali inayosababisha mfuko wa uzazi kujirudisha kistaarabu baada ya kujifungua na kusababisha kuvuja kwa damu nyingi.
5. Pia sababu nyingine ni kwa akina Mama wenye tatizo na kutokwa na damu uweza kujirudia rudia kila wakati wa kujifungua kwa hiyo Mama akipata mara ya kwanza , ya pili na pengine kwa mimba zake zote.
6. Pia Akina Mama wenye shinikizo la damu na protein kwenye mkojo ambapo kwa kitaalamu huitwa pe eclampsia na pia wanawake wenye kifafa nao wako kwenye hatari.
7. Kwa hiyo baada ya kujua sababu za mfuko wa kizazi kushindwa kusinyaa ni vizuri kabisa kwa wahudumu wa afya kuweza kusaidia Ili akina Mama waweze kujifungua salama na kuepukana na vifo vya akina Mama wakati wa kujifungua.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1801
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani
👉2 kitabu cha Simulizi
👉3 Kitau cha Fiqh
👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉5 Simulizi za Hadithi Audio
👉6 Kitabu cha Afya
Je kukosa hedhi kwa mwanmke anayenyonyesha ni dalili ya mimba
Kipimo cha mimba cha mkojo hakiwezi kyonyesha mimva changa sana. Hivyo kama ni mimba baada ya wikibpima tena itaweza kuonekana. Dalili hizobulizotaja pekee haziashirii mimba tu huwenda ni homoni zimebadilika kidogo, ama una uti. Soma Zaidi...
mpenzi wangu nimeshiriki nae tendo la ndoa akiwa siku zake za hatar kwa siku 3 lakin hajashika mimba tatizo linaweza kuwa ni nini?
Kupata ujauzito hufungamana na mambo mengi ikiwepo afya vya wawili yaani me na mume na mengineyo. Unaweza kushiriki sikuvhatari na usiupate mimba. Postivhii ibakwendavkukufahamisha undani wa jambo hili. Soma Zaidi...
Madhara ya tumbaku na sigara
Post hii itakwenda kuangalia madhara ya tumbaku na sigara anayoweza kuyapata mvutaji Soma Zaidi...
Kazi za homoni katika Mzunguko hedhi.
Post hii inahusu zaidi kazi za homoni katika Mzunguko wa hedhi, katika kipindi hiki kuna homoni mbalimbali ambazo ufanya kazi kama tutakavyoona. Soma Zaidi...
Umuhimu wa uzazi wa mpango kwa Mama
Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa akina Mama, tunajua wazi kubwa kuna faida kubwa za uzazi wa mpango kwa akina Mama pindi watumiapo njia hizi kwa uhakika zaidi. Soma Zaidi...
Fahamu Faida za Uzazi wa mpango
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida za Uzazi wa mpango. Uzazi wa mpango ni huduma ambazo hutoa chaguo kwa familia kuwa na idadi ya watoto wanaotaka katika muda maalum, wanahisi na mbinu iliyoamuliwa. Soma Zaidi...
Huduma kwa mama mwenye mimba Inayotishia kutoka.
Post hii inahusu zaidi huduma ambayo Mama anapaswa kutolewa pindi mimba inapotishia kutoka huduma hii utolewa kulingana na Dalili tulizoziona zinazohusiana na mimba kutishia kutoka. Soma Zaidi...
Je ukitokea mchubuko wakati wa ngono unaweza pata ukimwi?
Kupata Ukimwi ama HIV hufungamana na mambo mengi. Si kila anayefanya ngono zembe nabmuathiria naye lazima aathirike. Hiivsibkweli, ila tangu kuwa hali hii ni hatari kwani kupata maambukizi ni rahisi sana. Soma Zaidi...
Nikila tumbo linauma, mdomo mchungu, matiti yanauma na hedhi sijapata, je ni dalili za mimba?
Mdomo kuwa mchungu ni halia mabayo haiashirii ishara mbaya za kiafya. Mdomo unaweza kuwa mchungu kutokana na vyakula. Pia hutokea ikawa ni ishara ya baadhi ya maradhi, ama ni matokeo ya baadhi ya shda za kiafya. Je vipi kuhusu maumivu ya matiti na tumb? Soma Zaidi...
Nini sababu ya kuwashwa kwa njia ya mkojo kwa wanaume
Habari ya muda huu Dokata. Soma Zaidi...
Je mjamzito Uchungu ukikata inakuwaje
Hutokea uchungu wa kujifunguwa ukakati. Unadhani ni kitugani kinatokea. Soma Zaidi...
Faida na hasara za kutumia kondomu kama njia ya uzazi wa mpango
Kondomu ni mpira ambao uwekwa kwenye uke au uume kwa ajili ya kuzuia mimba wakati wa kujamiiana Soma Zaidi...