SABABU ZA QURAN KUWA MWONGOZO SAHIHI WA MAISHA YA MWANADAMU


image


Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)


  • Sababu za Qur’an kuwa mwongozo sahihi pekee wa maisha ya mwanaadamu.
    • Qur’an yote ni maneno ya Mwenyezi Mungu (s.w) peke yake, hivyo ni mwongozo wa uhakika.
    • Ujumbe wa Qur’an umeelekezwa kwa walimwengu wote na zama zote zilizobakia hadi siku ya Qiyama.

 

  • Maana ya Kuiamini Qur’an katika maisha ya kila siku.

Maana halisi ya kuiamini Qur’an kama Kitabu pekee cha mwongozo sahihi wa maisha ya mwanaadamu (muumini) ni kufanya yafuatayo;

  1. Kuwa na yakini pasina shaka yeyote kuwa Qur’an yote ni maneno ya Mwenyezi Mungu (s.w) peke yake.

Rejea Qur’an (2:2).

 

  1. Kuufahamu vyema ujumbe wa Qur’an na kuuheshimu inavyostahiki kwa kujizatiti katika kujifunza kuisoma na kuijua ipasavyo.

Rejea Qur’an (73:4) na (7:204-205).

 

  1. Kulifahamu vyema lengo la Qur’an na kuiendea kwa lengo lake tu.

Rejea Qur’an (14:1), (2:185) na (16:64).

 

  1. Kuitekeleza Qur’an katika kukiendea kila kipengele cha maisha yetu ya kila siku kwa mujibu wa lengo lake tu.

Rejea Qur’an (5:44, 46-47).



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Tanzu (makundi) za hadithi
Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Msimamo wa uislamu juu ya utumwa
Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kuamini vitabu vya mwenyezi Mungu (s.w)..
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kwanini wengi wanaoswali hawafikii lengo la swala zao
Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Kuamini mitume wa mwenyezi Mungu
Nguzo za Imani (EDK form 2:. Dhana ya elimu ya uislamu Soma Zaidi...

image Aina za tawafu
Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Zoezi la 6 kusimamisha swala
Zoezi hili linamaswali mbalimbali kuhusiana na swala na masharti ya swala. Soma Zaidi...

image Lengo la kuumbwa Mwanadamu ni lipi?
Kwenye kipengele hichi tutajifunza lengo la kuumbwa mwaanadamuengo la kuumbwa ulimwengu na viumbe vilivyomo. Soma Zaidi...

image Haki za raia katika dola ya kiislamu
Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

image Madhumuni ya dola ya uislamu
Dola ya uislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...