SABABU ZA UGUMBA KWA WANAWAKE


image


Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa wanawake, ni sababu ambazo upelekea wanawake wengi kuwa wagumba ukizingatia kuwa wanazaliwa wakiwa na uwezo kabisa wa kupata watoto lakini kwa sababu mbalimbali za kimazingira wanakoswa watoto, zifuatazo ni sababu za ugumba kwa wanawake.


Sababu za ugumba kwa wanawake.

1. Kwanza kabisa ugumba ni hali inayotokea ambapo mwanamke na mwanaume wanaishi kwa mwaka mmoja kwa kujamiiana pasipokutumia aina yoyote ya uzazi wa mpango lakini hawapati mtoto kwa kipindi cha mwaka huo mzima, kuna aina mbili za ugumba.Aina ya kwanza ni pale ambapo mwanaume na mwanamke wanapata moto mmoja na baadae hawapati kabisa na ya pili ni kwamba hawapati mtoto hata mmoja. Zifuatazo ni sababu za ugumba kwa mwanamke.

 

2. Kuaribika kwa mirija ambayo inasaidia katika mifumo mizima ya kusafirisha yai, kwa mwanamke kuna baadhi ya mirija ambayo usababisha kusafirisha  yai wakati wa utungaji wa mimba, mirija hiyo ikiharibiwa ushindwa kupokea yai na kulifikisha sehemu usika,  sababu za kuaribika kwa mirija inaweza kuwa ni maambukizi kwenye mirija hiyo au ni kwa sababu ya upasuaji  kwa hiyo yai ushindwa kusafiri kutoka kwenye ovari mpaka kwenye follapian kwa ajili ya kurutubishwa.

 

3. Sababu nyingine ni kuwepo kwa matatizo kwenye mfuko wa uzazi, mfuko wa uzazi kawaida unapaswa kuwa na mazingira mazuri kwa ajili ya kumtunza mtoto, kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kwenye mfumo wa uzazi  pamoja na kuwepo kwa uvimbe mtoto hawezi kukua kwenye mfumo wa uzazi kwa hiyo kutibu maambukizi mapema ni vizuri ili kuepukana na tatizo hili la kukosa mtoto.

 

4.kuwepo kwa acid nyingi kwenye uke. Tunajua wazi kubwa kwenye uke kuna acidi ambayo inapaswa kutunza sehemu hiyo ila acidi ikiwa nyingi huwa inaua mbegu za kiume kwa  hiyo acidi ya kwenye uke inapaswa kuwa nne na nusu kwa pH ikizidi  hapo inaua mbegu kwa hiyo pakitokea tatizo la ugumba ni vizuri kupima kiwango cha acidi kwenye uke ili kupunguza tatizo la ugumba.

 

5. Kuwepo kwa ute mzito kwenye uke na cervix, tujue wazi kubwa kwenye uke kwa kawaida huwa kuna ute, ikitokea uke huo kubwa mzito usababisha mbegu kushindwa kupita na kulifikia yai kwa ajili ya kurutubishwa kwa hiyo tunapaswa kuangalia na tatizo la ute endapo kama kuna tatizo la ugumba na kuweza kutumia dawa za kurainisha ute na mbegu zinaweza kupita kwa urahisi.

 

6. Kuwepo kwa maambukizi kwenye via vya uzazi, tukumbuke kubwa via vya uzazi ni pamoja na uke, cervix na tumbo la uzazi hizi sehemu zikishambuliwa na Maambukizi ni vigumu kupata uja uzito. Hasa maambukizi yatokanayo na ngono zembe kwa hiyo tunapaswa kupima na kutibu mara moja Magonjwa haya ili kuweza kuondoa wimbi hili la ugumba kwa wanawake.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    4 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    5 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    6 Magonjwa na afya    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Njia za kufuata unapohudumia watu waliopata ajali
Post hii inahusu zaidi namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa watu waliopata ajali. Ajali ni tukio lisilotarajiwa ambalo kinaweza kumkuta mtu yeyote, tunapotoa huduma ya kwanza tnazingatia rangi ambazo huwakilisha jinsi watu walivyoumia. Soma Zaidi...

image Dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto. Soma Zaidi...

image Sababu za mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa
Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazosababisha kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Soma Zaidi...

image Ugonjwa wa kuchelewa kuganda kwa Damu unaojulikana Kama hemophilia.
Posti hii inazungumzia kuhusiana na tatizo la Kurithi ambapo Damu inatoka kwa muda mrefu wakati au baada ya jeraha bila kuganda. Soma Zaidi...

image Yajue magonjwa ya kurithi.
Posti hii inahusu zaidi Magonjwa vya kurithi ambayo mara nyingi utokea kwenye jamii ni magonjwa ambayo yanaweza kutokea kwenye familia na wanafamilia walio wengi wakaweza kupata ugonjwa huo Magonjwa yenyewe ni kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

image Nguzo kuu za umama katika umri wa kupata watoto na kulea watoto
Posti hii inahusu zaidi nguzo kuu za umama katika umri wa kujifungua na kulea watoto, ni kipindi ambacho mama anakuwa analea watoto kwa kawaida kadri ya makadirio kipindi hiki uanza kati ya miaka kumi na mitano mpaka arobaini kwa walio wengi na kinaweza kubadilika kadri ya maamuzi ya wahusika. Soma Zaidi...

image Kukosa choo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kukosa choo Soma Zaidi...

image Je vidonda vya tumbo husababisha maumivu mpka upande mmoja wa mgongoni !?
Ni ngumu kujuwa vidonda vya tumbo uhakika wake bila ya kupata vipimo. Unajuwa ni kwa nini, ni kwa sababu maumivu ya tumbo ni dalili ya shida nyingi za kiafya kama ujauzito, mimba, typhod, na shida kwenye unfumo wa chakula. Soma Zaidi...

image Ugumu wa choo na tiba yake kwa wajawazito
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa ugumu wa choo na tiba yake kwa wajawazito, ni ugonjwa unaowapata sana akina mama wajawazito na uisha tu pale Mama anapojifungua kwa hiyo tunapaswa kujua wazi sababu za ugumu wa choo na tiba yake kwa wajawazito. Soma Zaidi...

image Dondoo za afya 41-60
Somo Hili linakwenda kukuletea dondoo mbalimbali za afya Soma Zaidi...