PETE YA AJABU

Picha ya Pete ya Ajabu EP 25: Mwisho mwema
PETE YA AJABU EP 25: MWISHO MWEMA

Kijiji cha Lemi kinapata neema baada ya kijana wao kurejea.;

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 24: Kurudi Kijijini
PETE YA AJABU EP 24: KURUDI KIJIJINI

Hatimaye Silo na Lemi wanakwenda kijijini kwa Silo kama safari ya mwisho ya Silo

Picha ya Pete ya ajabu Ep 23: Nyoka wa Ajabu
PETE YA AJABU EP 23: NYOKA WA AJABU

Katika safari yao ya kurudi bado vijana hawa wanaendelea kukutana na vikwazo

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 22: Kijiji kilichovamiwa
PETE YA AJABU EP 22: KIJIJI KILICHOVAMIWA

Vijana wanaendelea kutimiza ahadi ya kusaidia wengine.

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 21: Safari ya Kurudi
PETE YA AJABU EP 21: SAFARI YA KURUDI

Baada ya Lemi na Silo kumaliza masomo yao kwenye chumba cha vioo sasa wanaamrishwa kurudi

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 20: Wimbo wa Maji
PETE YA AJABU EP 20: WIMBO WA MAJI

Tunaendelea kufichua siri zilizofichwa kwenye vioo vya ajabu.

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 19: Kioo cha giza
PETE YA AJABU EP 19: KIOO CHA GIZA

Kila kioo kina miujiza yake, sasa ni zamu ya kuoo cha giza

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 18: Sfari ya Upepo
PETE YA AJABU EP 18: SFARI YA UPEPO

Tunaendelea kufichua siri zilizofichwa kwenye vioo

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 17: Moyo wa Dhahabu
PETE YA AJABU EP 17: MOYO WA DHAHABU

Hatimaye moyo wa dhahabu unajitokeza kwneye kioo

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 16: Mvua ya Machozi
PETE YA AJABU EP 16: MVUA YA MACHOZI

Vioo zaidi na maajabu zaidi

Picha ya Pete ya Ajabu Ep ya 15: Maajabu zaidi
PETE YA AJABU EP YA 15: MAAJABU ZAIDI

Vioo vinaendelea kushangaza wasafiri hawa wawili

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 14: Kioo kingine
PETE YA AJABU EP 14: KIOO KINGINE

Lemi na Silo wanaendelea kuzijuwa siri za kwenye vioo vya kale

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 13: Kioo cha chui
PETE YA AJABU EP 13: KIOO CHA CHUI

Kila kioo kina miujiza yake, sasa ni zamu ya kioo cha chui.

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 12: Usiku wa Majibu
PETE YA AJABU EP 12: USIKU WA MAJIBU

Baada ya lemi na Silo kushindwa kuchaguwa kwenye kioo sasa wakaamuwa kulala pale. Hatimaye usiku wa majibu unawafikia.

Picha ya Pete ya Ajau Ep 11: Subira wakati wa maamuzi magumu
PETE YA AJAU EP 11: SUBIRA WAKATI WA MAAMUZI MAGUMU

Kwa mara ya kwanza Lemi na Silo wanashindwa kutoa maamuzi kuhusu nini wachaguwe

Picha ya Pete ya Ajabu EP 10: Milango ja Ajabu
PETE YA AJABU EP 10: MILANGO JA AJABU

Katika mfululizo huu wa matukio sasa wasafiri hawa wawili wanakumbana na milang ya ajabu.

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 9:  Msitu wa Majaribu
PETE YA AJABU EP 9: MSITU WA MAJARIBU

Katika Msitu mnene, Silo na Lemi wanakutana na majaribu mapya.

Picha ya Pete ya Ajabu 8: Siri za milima ya mbinguni
PETE YA AJABU 8: SIRI ZA MILIMA YA MBINGUNI

Hatimaye Lemi na Silo wanakutana na majaribu na changamoto mpya, kufa na kupona

Picha ya Pete ya Ajabu 7: Kukutana na Rafiki Mpya
PETE YA AJABU 7: KUKUTANA NA RAFIKI MPYA

Lemi anapata rafiki mpya na kuendelea na safari yake wakiwa wawili.

Picha ya Pete ya Ajabu ep 6: Kuelekea kijito cha siri
PETE YA AJABU EP 6: KUELEKEA KIJITO CHA SIRI

Sasa Kijana Lemi anaamiwa kuanza upya kusaidia kijiji hiki kwa kuelekea kijito cha siri ambako nduio kuna suluhisho la matatizo...

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 5: Siku mpya
PETE YA AJABU EP 5: SIKU MPYA

Hapa tunaendelea na safari ya Lemi na mzee wakiwa msituni kuelekea kwenye kijiji kinachofuata

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 4: Sauti za Moyo
PETE YA AJABU EP 4: SAUTI ZA MOYO

Lemi meanza majukumu rasmi ya kusaidia watu wengine.

Picha ya Pete ya Ajabu EP 3: Siri ya Chemchem
PETE YA AJABU EP 3: SIRI YA CHEMCHEM

Lemi anakutana na chemchem ya ajabu, hapa anaishia kupata zawadi nono zaidi

Picha ya Pete ya Ajabu Ep 2: Mwito wa Safari
PETE YA AJABU EP 2: MWITO WA SAFARI

Kijana Lemi anaamuwa kuanza safari asioijuwa mwanzo wake na mwisho wake.

Picha ya Pete ya Ajabu: Ep 01 Baraka au Laana
PETE YA AJABU: EP 01 BARAKA AU LAANA

Kijana Lemi anaokota pete ya Ajabu, sasa anajiuliza je ni ya baraka au ya laana