Dalili za upungufu wa vitamini C
Utajuaje kama una upungufu wa vitamini C. Zijuwe dalili za upungufu wa vitamini C hapa

DALILI ZA UPUNGUFU WA VITAMINI C
Makala hii inakwenda kukuletea dalili za upungufu wa vitamini c mwilini. Dalili hizo ni kama:-
1.Kupata ugonjwa wa anaemia (upungufu wa oksijeni mwilini)
2.Kutokwa na damu kwenye mafinzi
3.Mwili kushindwa kupambana na maambukizo ya mara kwa mara
4.Kuchelewa kupona kwa vidonda na majeraha
5.Kukauka na kukatika kwa nywele
6.Kupata majeraha na michubuko kwa urahisi
7.Kuvimba kwa mafinzi
8.Kutokwa na damu za pua
9.Kuongezeka kwa uzito
10.Ngozi kukauka na kupauka ama kufujaa kwa ngozi
11.Kuvimba kwa viungio na maumivu ya viungio
12.Udhaifu wa gamba gumu la meno.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Vyakula hatari kwa afya ya moyo
Hivi ni vyakula hatari kwa watu wenye maradhi ya moyo. Vyakula hivi si salama kwa afya ya moyo
Soma Zaidi...FAIDA ZA KULA ZABIBU
Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za kula zabibu na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Vyakula vya kuoambana na mafua
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuoambana na mafua
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula tunda pera
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tunda pera
Soma Zaidi...