Vyakula vya protini na kazi zake
VYAKULA VYA PROTINI
- Samaki
- Mayai
- Maziwa
- Nyama
- Kunde
- Maharagwe
- Mbaazi
- Mboga za majani
- Dagaa
- Kumbikumbi
- Senene
- Nafaka
Faiza na kazi za protini mwilini:
Protini husaidia katika kkujenga miili yetu. Pia husaidia katika uponaji wa vidonda, utengenezwaji wa homoni na utengenezwaji wa enzymes. Kwa ufupi protini ni kirutubisho kinachochukuwa nafasi kubwa zaidi katika miili yetu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 ai web app 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 kitabu cha Simulizi
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 ai web app 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Faida za limao au ndimu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndimu au limao
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula kisamvu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kisamvu
Soma Zaidi...Fahamau protini na kazi zake, vyakula vya protini, na athari za upungufu wake.
unayopaswa kuyajuwa kuhusu protini na vyakula vya protini, faida zake na hasara zake. Madhara ya kiafya yanayohusiana na protini pamoja na kuyaepuka madhara hayo
Soma Zaidi...